THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

  Huwezi kusikiliza Radio Sauti ya Injili kwenye dayosisi yako bado?

Juzi wachungaji kutoka Mwanza wametembelea studio ya Radio Sauti ya Injili na swali hilo:

wachungajistudio.jpg (91212 bytes)

Kwanza inatakiwa uwanja juu ya mlima. Mawimbi wa masafa ya FM yanatembea ubali unavyoweza kuona na kidogo zaidi tu. Hawawezi kupita mlima mwingine maanake nyuma ya yule mlima mwingine wasikilisaji watakuwa kivulini na hawataweza kusikiliza tena.

plot.jpg (31785 bytes)

Halafu tunahitachi Umeme ya Tanesco kule Juu ya Mlima:

electricity.jpg (89647 bytes)

Kwa ile mitambo a watts 250  tunatumia banda ndogo inatosha. Kama unapenda kuhudumia eneo kubwa zaidi na watts 1000 unahitachi nyumba kubwa zaidi.

transmitterhut.jpg (57338 bytes)

Kariabu ya ile nyumba ndogo tunahitachi mnara ya antenna na antenna zake. Aina gani inategemea eneo unapenda isikiki..

antenna.jpg (80592 bytes)

Ndani ya yule nyumba ndogo tunaweka ile mitabbo (transmitter) na vyombo kuunganisha na studio (Link).

transmitter.jpg (56374 bytes)

Lakini muhimu sana ni kupata kibali ya serekali, ni kupata liseni ya ile mitambo kutoka TCRA. Bila Liseni huwezi kupata Frequency kuenda hewani. Hapa Kituo cha Radio Sauti ya Injili wanakusaidia pia.

Haya yote inapatikana namna gani?

Mahali pengine Askofu ya Dayosisi ameomba donors mbalimbali kusaidia na gharama kununua mitambo na antennas. Mnara ya antenna imetengenezwa hapa Tanzania.

Marafiki wamesaidia kupata wanja juu ya mlima na wanasaidia hata na usalama ya mahali pale.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2

Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2015