MKUTANO MKUU WA 35 wa DAYOSISI YA KASKAZIN 25-28 AGOSTI 2018
" BWANA Nimependa makao ya nyumba yako ZABURI 26:8a''
Mkuu wa Dayosisi na watumishi wengine katika maandalizi ya ibada ya ufunguzi
Mtangazaji wa zamu akiwa kazini
Katika picha Baba Askofu Dr.Fredrick Shoo Mkuu wa Kanisa na Mkuu wa Dayosisi mwenye joho nyekundu wakati wa Ibada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 35 wakifuatilia kwa makini hutuba ya Mkuu wa Dayosisi
Wajumbe wa Mkutano mkuu wa 35 katika picha ya pamoja
Mkuu wa Dayosisi ya kaskazini Askofu Dr. Fredrick Shoo alifungua rasmi mkutano na mwisho aliwakaribisha wageni kutoa salamu
Salamu baba askofu Shoo
Salamu baba askofu Shoo
Salamu baba askofu Shoo
Salamu baba askofu Shoo
|