ELCT
Press Release Date:
June 29, 2017 |
|
Askofu
Gaville awekwa wakfu kuongoza Dayosisi ya Iringa
Zilikuwepo
nderemo na vicheko kwa wingi Jumapili iliyopita tarehe 25 Juni, 2017
siku ambayo viongozi wa awamu ya pili katika Dayosisi ya ya Iringa ya
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) walipoingizwa rasmi
kazini. Masomo yake ya Shahada ya Theologia 1994 1998 alihitimu Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo Arusha. Mwaka 2008 2009 alisoma Chuo Kikuu cha Iringa na kutunukiwa Stashahada ya juu katika masuala ya Uongozi wa Kanisa na alipata Shahada ya Uzamili ya Menejimenti ya Misioni na Maendeleo ya Jamii (2011 - 2015). Aliwahi kuwa Mchungaji kiongozi katika sharika za Tungamalenga na Kihesa na Mkuu wa Jimbo la Kusini na Jimbo la Kaskazini.
Mchg. Sagga aliyezaliwa 19 Juni 1971 kijijini Ilula wilaya ya Kilolo, Mkoani Iringa Mchg. Sagga ana alisoma na kuhitimu kozi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Iringa kama ifuatavyo: Stashahada ya Theolojia kati ya 1995-1998 na baadaye 2001-2004 Shahada ya Theolojia na alijiendeleza kimasomo Chuoni hapo na kutunukiwa Stashahada ya juu katika masuala ya Uongozi wa Kanisa na Menejimenti 2008-2009. Pia ana Shahada ya Uzamili ya Maendeleo ya Jamii na Usimamizi wa Miradi (2012-2014) aliyopata Chuo Kikuu cha Iringa. ================================================== |
|
For more information contact: Elizabeth
Lobulu |