Matengenezo:
Tumeokolewa kwa Neema ya Mungu
(English)
August
9, 2017
Press release No. 001/08/2017
Tumeokolewa
kwa Neema ya Mungu ni kauli mbiu iliyochaguliwa na Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT) kuongoza maadhimisho ya Miaka 500 ya Matengenezo
ya Kanisa 2017. Ifuatayo ni KKKT ratiba ya Juma la Matengenezo kuanzia
ngazi ya sharika hadi kitaifa:
NGAZI YA DAYOSISI
Kamati inaafiki
Azimio la kuwa na bustani ya miti lenye ua kama ilivyo nembo ya Dkt.
Martin Luher na baada ya majadiliano ilipatana mambo haya ya ziada:
-
Pawepo
bustani au shamba la miti kwa kumbukumbu hiyo Kidayosisi /au Sharikani
-
Maadhimisho
yafanywe na Dayosisi, Sharika na Vituo vyote vya Kanisa
-
Kwaya
zote zijiandae kwa wimbo wa halaiki
-
Kwaya
zote zijiandae kwa tamasha la uimbaji
-
Juma
la kumbukumbu ya miaka 500 ya matengenezo ni tangu 1 8 Octoba
2017
NGAZI YA SHARIKA
NA VITUO
1 Oct Jumapili
-
Iwe
ni Siku ya Vituo vya Kanisa ngazi zote
-
Vipindi
vya dini mkazo uwe kuhusu matengenezo
-
Watoe
huduma za kijamii
-
Wapate
maelezo ya kusudi na historia ya matengenezo
-
Utoaji
damu inapowezekana
-
Iwe
ni Siku ya Watu wote
-
Usafi
wa mazingira
-
Tamasha
la uimbaji
-
Kanisa
limeteua Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA) kuwa eneo la kuadhimisha
miaka 500 ya matengenezo kitaifa.
-
Kongamano
la kitaifa litafanyika 7/10/2016 ambapo mada mbalimbali zitatolewa
na kujadiliwa na wajumbe toka dayosisi 25 za KKKT.
-
Tarehe
8/10/2017 itafanyika ibada maalumu ya kilele cha miaka 500 ya matengenezo.
Reformation:
Liberated by Gods grace
(Kiswahili)
(close
window)
August
9, 2017
Press release No. 001/08/2017
Liberated
by Gods grace is the theme chosen by the Evangelical Lutheran
Church in Tanzania (ELCT) for the 500th anniversary of the Reformation
in 2017. The following is the programme to be carried out on both parish
and national levels:
AT DIOCESE LEVEL
-
To
set aside a tree planting to mark 500 years of reformation at diocese
and parish level
-
Celebrations
of the Reformation to be observed by dioceses, parishes, institutions
and the church at the national level
-
All
parishes to prepare for a mass choir
-
All
choirs to prepare for a music extravaganza
-
The
500th anniversary reformation week runs 1 8 October 2017
AT PARISH AND
INSTITUTIONAL LEVEL
1 Oct Sunday
-
Marks
the beginning of the celebrations
-
A
special church service needs to be conducted
-
Someone
who is an authority on church history needs to be available to teach
the purpose and the historical background that led to church reformation
-
A
choir festival
-
To
be earmarked as a youth day.
-
Tree
planting
-
Blood
donation when possible
-
Visit
the needy in the community in order to assist them
-
A
special day for the church institutions at all levels
-
Emphasis
during religious classes should be on the Reformation
-
Community
service
-
Obtain
information on the history of the Reformation
-
Blood
donation when possible
-
The
climax of the celebrations
-
Only
one service should be held if possible
-
A
mass choir should perform on that day
-
Music
festival
-
The
church has chosen Tumaini University Makumira (TUMA) to host the national
celebrations to mark the 500th anniversary of the Reformation
-
A
consultation will take place on 7/10/2016 during which a number of
papers will be presented and discussed by representatives from all
25 dioceses of the ELCT
-
On
8/10/2017 a special church service will mark the climax of the 500th
anniversary
Elizabeth Lobulu
Communication Coordinator,
Evangelical Lutheran Church in Tanzania
Box 3033, ARUSHA, Tanzania.
Phone: +255-27-250-8856/7
FAX: +255-27-254-8858
E-mail: ELobulu@elct.or.tz
Close
this window
|