ELCT
Press Release Date:
January 8, 2018 |
|
ELCT
to host World Council of Churches world conference on mission and evangelism The Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) will host a Conference on World Mission and Evangelism (CWME) organized by the World Council of Churches from 8 to 13 March this year. The ELCT Secretary General, Mr. Brighton Killewa said recently that the conference that will attract at least 1,000 participants from around the world will be held at Ngurdoto Mountain Lodge in Arusha. For further information visit: www.oikoumene.org/en/press-centre/events/conference-on-world-mission-and-evangelism-moving-in-the-spirit-called-to-transforming-discipleship KKKT kuwa mwenyeji wa mkutano wa Baraza la Makanisa Duniani kuhusu Misioni na Uinjilisti Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) litakuwa mwenyeji wa Mkutano wa kimataifa kuhusu Misioni na Uinjilisti ulioandaliwa na Baraza la Makanisa Duniani (WCC) unaotarajiwa kufanyika tarehe 8 13 Machi mwaka huu. Katibu Mkuu wa KKKT, Bw. Brighton Killewa, amesema hivi karibuni kwamba inatarajiwa washiriki 1,000 toka pande zote za dunia watahudhuria mkutano huo utakaofanyika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge iliyopo Arusha. Kwa taarifa zaidi fungua tovuti: www.oikoumene.org/en/press-centre/events/conference-on-world-mission-and-evangelism-moving-in-the-spirit-called-to-transforming-discipleship Imetolewa na: Ofisi ya Katibu Mkuu, KKKT Elizabeth Lobulu |
|
For more information contact: Elizabeth
Lobulu |